PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Shilingi Bilioni 303.7 za Uswisi zikirudi tugawane mwanawane


From Mwananchi newspapers
 ZITTO AMTAKA PINDA ataje wahusika, wananchi wataka fedha zirejeshwe, mabilioni zaidi yaibwa mtandaoni
kubainika kwa Sh303.7 bilioni zilizofichwa katika akaunti za vigogo wa Serikali na wanasiasa nchini Uswisi, kumetikisa nchi huku shinikizo likitolewa kwa vyombo vya dola kuchunguza haraka na kuchukua hatua za kisheria, ikiwamo kurejesha fedha hizo………..
safari hii wananchi tuombe kugawiwa maana za rada naona maluweluwe tu. Watu tujipange foleni kila mtu apewe chake ajue anunue nini au vipi? Nawasilisha hoja

Comments