HATUPIMI BANDO

26 June 2012

Mzee Hosea

Mzee Hosea, mzee anaetusaidia kukamatwa wachukua hongo na rushwa

1 comment:

Anonymous said...

Jana Mzee huyu kanifurahisha sana kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV. Ameweza kubaibainisha tofauti ya HONGO na RUSHWA. Pia ameweza kuelezea kwa ufasaha uvuvi wa NYANGUMI na DAGAA na SAMAKI wa kawaida, na kwamba kwa kipindi kifupo PCCB wameweza kukamata NYANGUMI 6. Nilitamani aendelee kutoa maelezo yake kwa ufasaha zaidi. Keep it up mzee hosea