HATUPIMI BANDO

27 June 2012

Mi sijui, mi nina miaka mia mbili tu


Babu mwingine kaibuka huko Iringa, yeye anatoa dozi ya kukufanya usizeeke. Na ametangaza kuwa yeye mwenyewe ana umri wa miaka mia tatu. 

Waandishi wetu wenye busara waliona wamuhoji msaidizi wake mmoja ili kupata ukweli kuhusu dawa za babu huyu;
Mwandishi:Ndugu msaidizi unaitwa nani?
Msaidizi:Naitwa Ndundami
Mwandishi:Je, ni kweli huyu babu ana miaka mia tatu?
Msaidizi:Kiukweli sina uhakika, maana mi nimefanya kazi kwake kwa miaka mia mbili tu

2 comments:

DOREEN LOVE said...

ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Gabriel said...

Lol! We mzee umeshindikana!