PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Mbona na wewe huna?

Mr na Mrs walikuwa katika hali ya kununiana,
MKE: naomba hela nikanunulie sidiria
MUME: Sidiria ya kufanyia nini? Matiti yenyewe huna
MKE: Mbona we unavaa chupi?

Comments