PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Dereva wa gari la maiti

Jamaa kakodi taxi, wakati wamo njiani akamgusa dreva bega ili amuelekeze njia, dreva akapiga ukelele na gari akaliingiza mtaroni,
PASENJA: Du mzee samahani sikujua nikikugusa bega utashtuka vile,
DEREVA: Sio kosa lako mzee ni langu, kwa miaka kumi nilikuwa naendesha gari la maiti leo ndio siku yangu ya kwanza kuendesha taxi

Comments