PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Choo kwa wenye miguu mifupi tu

Yamenikuta nimepata chumba 108 kwenye hii 'lodge' moja hapa Dodoma. Chumba fresh nilipoingia chooni ndipo nikakuta kitendawili hiki. Ukijidai kukaa magoti yanagota ukutani, swali nipande hapo juu? Nikamwomba mhudumu moja aje ajaribu kutumia hicho choo kabaki anacheka maana wanakijua....

Comments