HATUPIMI BANDO

27 June 2012

Afande nisaidie ntamuua mke wangu


Jamaa kaingia kituo cha polisi amevimba kwa hasira,
Jamaa:
Afande nisaidieni ntamuua mke wangu
Afande:
Tulia bwana kwani vipi?
Jamaa:
Mke wangu ananiudhi sana, kila siku anakwenda Kisusio Bar analewa halafu anachukuliwa hovyo na mtu yoyote.
Afande:
Alaaa, hiyo Kisusio Bar iko wapi?

No comments: