MI SINA VIJIKO

August 22, 2014
Jamaa kenda hospitali anakohoa, daktari kampa dawa ya maji; DOKTA : Utakunywa dawa hii vijiko viwili kila baada ya masaa sita MGONJWA :...

VICHWA VYA HABARI

August 21, 2014
 Wahezaji?  Umeona ee tumeendelea sana, tunacheza kwa kutumia umeme  Wanawake wenzio watapumua sasa DUH

ZAMU YAKO NIFUKUZE NA MIMI

August 20, 2014
Mgonjwa kwenye hospitali ya machizi alikuwa kaokota kisu, akaanza kumfukuza daktari mmoja kisu mkononi macho yamemtoka kwa hasira, daktari ...

NDUGU MHARIRI NINA TATIZO

August 19, 2014
Ndugu Mhariri wa Blog naomba msaada. Mimi ni mke wa mtu. Mume wangu ana miaka 40 mimi nina miaka 36, maisha yetu kwa kweli ni mazuri na ya...

JE NI KWELI? AU THI KWELI?

August 19, 2014
Kwa muda mrefu kumekuwa na stori kuwa wale jamaa dhetu wanaoishi karibu na Moshi huwa wanakula ugali kwa picha ya thamaki. Blogu yenu tat...

MKE WANGU MIMI KAZI BASI

August 19, 2014
Mke alikuwa kaenda mjini kwenye shughuli zake ghafla akapata wazo amtembelee mumewe ofisini. Ile kufungua mlango wa ofisi ya mumewe si kamk...

NAGAWA FRIJI BURE KARIBUNI

August 09, 2014
BOSI wetu alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokana na lile la zamani lililokuwa bovu na haliuziki, basi akaliweka nje ya nyumba ya...
Powered by Blogger.