NATAKA FACEBOOK BARIDI

July 31, 2014
Jamaa yangu kaenda kule kwa watani zangu, jioni kidogo katika mizunguko akapata mwenyeji, wakaelekea bar ya jirani....wakati wa kumngojea...

HIVI 2+2=?

July 22, 2014
Kulikuwa na tangazo la kazi, watu watatu, mwanafuzi, mhasibu na mwanasiasa wakapeleka maombi, siku ya usaili wakafika ta...

DOKTA NINA MAUMIVU MAKALI

July 19, 2014
JAMAA : Dokta nipe dawa nina maumivu makali DOKTA : Maumivu yameanza lini? JAMAA : Yaani toka jirani yangu kanunua Bodaboda roho inaniuma...

HAYA WOTE TOKENI NJE

July 18, 2014
Bonge ya mnuso ulikuwa unaendelea tatizo likawa WAZAMIAJI   ndio walikuwa wengi zaidi, mwenye shughuli akaskuut atawatam...

HALLOOOO NANI MWENZANGU?

July 15, 2014
MDADA : Baby mambo? Uko poa? MKAKA: Poa baby vipi ushafika kwenu? MDADA : ndio baby lakini kuna tatizo MKAKA : Nini tena? MDADA : Nili...

SAMAHANI MUDA UMEISHA

July 11, 2014
MZEE mmoja alikuwa hoi kitandani akajua anakufa akamwita mwanae wa kwanza wa kiume; MZEE : Mwanangu mi nakufa chukua pisto yangu, hiyo ita...

SUKUMA MKE WANGU

July 11, 2014
MUME :Sukuma kwa nguvu MKE MJAMZITO : Mwanaume gani katili wewe MUME : Sukuma bwana acha maneno MKE MJAMZITO : Mungu atakulaani MUME : ...
Powered by Blogger.