IDADI YA WAGENI

5 June 2014

SISTA NAOMBA NAMBA YAKO

MKAKA: Sista naomba namba yako ya simu
MDADA: Huwa sitoi namba yangu kwa wanaume hovyohovyo
MKAKA: Mie shoga usiogope
MDADA: Haya namba yangu 0713......................
MKAKA: Hahahhaha asante ila nilikudanganya mie sio shoga
MDADA: Na mie nimekudanganya hiyo namba ni ya bwanangu

0 COMMENTS/TUMA MAONI:

UA-35416264-1