IDADI YA WAGENI

9 May 2014

DOKTA USIJE TENA TUMESHA SOV

Jamaa kampigia simu daktari wake;
JAMAA: Dokta kuna tatizo mwanangu kameza kondom
DOKTA : Loh subiri usifanye lolote nakuja......Baada ya muda mfupi jamaa kampigia simu tena Daktari wake.
JAMAA: Aise Dokta huna haja ya kuja, tumeshapata kondom nyingine

0 COMMENTS/TUMA MAONI:

UA-35416264-1