IDADI YA WAGENI

8 May 2014

DOKTA MI MBAYA


MGONJWA : Dokta mi mbaya  
DOKTA: Si kweli mi nakuona uko fresh tu 
MGONJWA : Lakini kila mtu ananicheka na miaka yote wanasema mi mbaya  
DOKTA: Sikiliza nakuhakikishia kuwa wewe unavutia MGONJWA:Dokta najua unanifurajisha tu mi najijua mi mbaya  
DOKTA:Achana na maneno ya watu we mwanaume rijali kabisa unafaa hata kwenye matangazo ya mwanaume wa ukweli
MGONJWA:Dokta mi mwanamke  bwana
DOKTA: Hee

0 COMMENTS/TUMA MAONI:

UA-35416264-1