KISERIKALISERIKALI

May 27, 2014
SERIKALI hutoa adhabu ya kuuwawa kwa wale waliouwa wenzao ili kuonyesha kuwa kuuwa ni kitu kibaya sana na cha kuachwa mara moja

DOKTA MIE MWONGO

May 27, 2014
DOKTA : Haya una tatizo gani ndugu yangu? MGONJWA : Dokta kila mtu ananiona mie mwongo DOKTA : Ahh wapi sikuamini hata kidogo

CHEKA KITIME NA SWITCHONTZ

May 21, 2014
Bila chenga leo blog yenu tata si ndo ikaingia Kilimanjaro Hayati sijui Hyat, kwenye uzinduzi wa switchontz.....airtel wamekuja na huduma mp...

SITAKI KUUWA MTU

May 18, 2014
Devi kamkuta ombaomba njiani, Devi : Utajisikiaje nikikupa milioni 2 Ombaomba : Ntakufa kwa furaha Devi : Okay kwaheri sitaki kuuwa mtu ...

NANI ANATAKA KUOKOKA?

May 10, 2014
MCHUNGAJI alikuwa anawaombea waumini wake akauliza; MCHUNGAJI : Wangapi wanataka kuokoka inueni mikono niwaombee..... hakuna aliyeinua mko...

HERI UFE WEWE

May 10, 2014
Mama mmoja alikuwa anaishi na mwanawe Dogo na mama yake mzazi. Siku moja Dogo akipigwa na bibi yake akaamua kupiga kelele. DOGO : Heri ufe...

DOKTA MI MBAYA

May 08, 2014
MGONJWA : Dokta mi mbaya   DOKTA : Si kweli mi nakuona uko fresh tu   MGONJWA : Lakini kila mtu ananicheka na miaka yote wan...
Powered by Blogger.