TUMA VOCHA UFANIKIWE

April 30, 2014
Kuna kitu cha ajabu ambacho kwa kweli hata mimi sikielewi, ila tu naweza kusema miujiza inatokea. Binti mmoja alikosea akanitumia vocha ya...

GESTI ZA USWAZI NOMA

April 30, 2014
Gesti za uswahilini nomaaaaa; MTEJA : Mhudumu sina taulo chumbani kwangu MUHUDUMU : Samahani mzee subiri kuna mtu analitumia

KUMBE SINA KISUKARI

April 30, 2014
Mzee kaingia pharmacy, MZEE : Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa MFAMASIA : Kitu gani?....Mzee akatoa...

KUMBE BADO UNANIPENDA

April 22, 2014
Jamaa na mkewe walikuwa ghorofani wanagombana; MKE : Mi najirusha nife nimechoka na mambo yako... .....mke akiwa akakimbilia kujirusha dir...

MSAIDIENI HUYU MAMA

April 16, 2014
Kwa kweli wahariri wa blog wamelazimika kuomba msaada kuhusu hili jambo, na tunaomba wananchi mchukue muda kuacha kuangaliia TV Matusi na k...

KUNA HABARI NZURI NA MBAYA

April 11, 2014
JUZI MCHUNGAJI KASEMA HIVI KANISANI: Leo nina habari nzuri na mbaya kuhusu michango ya ujenzi wa kanisa letu jipya. Habari nzuri ni kuwa ...

UKIKOHOA TU UNAHARISHA

April 10, 2014
Jamaa alikuwa anakohoa kwa muda mrefu sana, kila dawa akipewa anatulia siku mbili kisha anaanza tena. Siku hiyo akaenda kwa daktari ambaye...

NOTI YA SHILINGI ALFU SABA

April 10, 2014
Tapeli moja mjingamjinga alikuwa na nia ya kutengeneza noti bandia za shilingi alfu kumi, si akakosea kaandika 11,000. Akastuka tayari ana...

WAHENGA WALISEMA

April 08, 2014
MKUU WA IDARA YA HISTORIA WA BLOG HII AMEFANYA UCHUNGUZI NA KUGUNDUA MAMBO MAKUBWA YA KIHISTORIA YALIYOFICHIKA.....KUWA ...

NILIBADILISHA VICHWA

April 07, 2014
Mama mmoja alifiwa na mumewe, akaenda mochwari kucheki maiti ya mumewe kwa mara ya mwisho, akakuta mumewe kavalishwa suti nyeusi akalalami...

HOTELI YETU HAINA PANYA

April 07, 2014
MHUDUMU : Hoteli yetu haina panya kabisa MTEJA : Ina maana ni safi sana basi MHUDUMU : Hapana chakula cha hapa hotelini ni kibaya sana mp...
Powered by Blogger.