ZOGO LILIANZIA HAPAAAAJamaa kaingia Bar;
Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,
Jamaa: Muhudumu nipe supu na kila mtu humu ndani mpe supu maana ninapokunywa supu kila mtu lazima anywe supu. Watu wakapewa supu tena safari hii wakapiga makofi.
Jamaa: Muhudumu nipe bili, na kila mtu humu ndani mpe bili maana wakati nalipa bili yangu kila mtu lazima alipe yake. Zogo lilianzia hapo.......

1 comment:

Abuu Mautundu said...

anko vichekesho vyako vizuli sana mimi huwa msomaji wako mda mlefu sana.. Ila mala nyingi naona kama unaludia ludia vichekesho

Powered by Blogger.