ZAWADI YA SIKU YA WANAWAKE


Mume na mkewe walikuwa kitandani asubuhi ya leo.
MUME: Mke wangu leo ni siku ya wanawake , nifanye nini leo ili ufurahi maisha yako yote yaliyobaki?
MKE: Kunywa sumu

Comments

Anonymous said…
Yan hapo inaonyesha maisha ya huyo mwanamke si ya furaha na mume wake kwa hiyo anawish afe ili awe na amani, jamani wanaume badilikeni.