IDADI YA WAGENI

11 March 2014

UBACHELA KAZI WAJAMENI

Bosi mmojawapo wa hii blog amekutwa akitayarisha kifungua kinywa. Bosi huyu ambaye hajaoa japo umri umekwenda kakutwa muda mchache uliopita akitayarisha chapati kwa staili yake. Tunamtakia kazi njema, heri yeye kuliko yule bosi wa idara ya fedha ya hii blogu tuliyemkuta anakuna nazi wakati mkewe kalala.

0 COMMENTS/TUMA MAONI:

UA-35416264-1