ETI KWELI NIMETOROKA?

Chizi katoroka hospitali ya vichaa, alipofika kwao akapiga simu hospitali;
CHIZI: Haloo hapo hospitali ya vichaa?
MHUDUMU: Ndio, sijui nikusaidie nini?
CHIZI: Naomba uangalie kama kuna mtu chumba namba 7
MHUDUMU: Ngoja niangalie............dah hakuna mtu mlango uko wazi, ulikuwa unamtafuta nani?
CHIZI: Nilikuwa nataka kuhakikisha kama kweli nimetoroka

Comments

Anonymous said…
huyo n jembe kinyambe