NAOMBA LITA MOJA YA KUKU

March 31, 2014
Gulo na binamu yake Fulo waliingia kwenye bucha; GULO : Naomba lita moja ya kuku wa kizungu...... watu waliokuweko walipigwa butwaa kidogo...

WAMENIBAMBIKIA KESI MKUU

March 26, 2014
Mshikaji alijikuta yuko mahakamani kwa kosa la kuiba gari. HAKIMU : Mshtakiwa unamaelezo yoyote? MSHKAJI : Mzee, hawa jamaa wamenibambiki...

VAA UPESI KAITE AMBULENSI

March 26, 2014
Waifu karudi ghafla nyumbani toka kazini, si akasikia sauti za ajabu toka chumbani kwake, akahangaika kufungua mlango uliokuwa umefungwa...

HAPA PANAITWA UBUNGO

March 26, 2014
Watani zangu waliokuwa kwenye basi wakiwa wanaingia kwa mara ya kwanza jiji la Dar es Salaam walikuwa wanabishana namna ya kutamka jina ...

JUMA LETE NYUMA

March 26, 2014
Juma kaenda kuomba kazi ya uboi kwa muhindi, mambo hayakuwa mabaya kwa wiki mbili za kwanza. Siku hiyo ndugu zake bosi wakamtembelea bosi,...

DADIE LOVE YOU KISS KISS

March 24, 2014
Dadie yupo Coco Beach na binti mmoja anaependa sana kutokea kwenye magazeti pendwa. DADIE : Mtoto ulisema birthday yako next week? BINTI ...
Powered by Blogger.