MAMA MWANAO KAVUNJA REKODI

February 28, 2014
Mkuu wa Mkoa : mama mi ni Mkuu wa Mkoa, nimekuja kuongea kuhusu mwanao Mama : Kuna nini tena baba? Mkuu wa Mkoa : Si unajua mwanao ali...

HAYA TOTO NJULI TULA UPECHI

February 27, 2014
Bikizee kasikia ‘Izrail mtoa roho’ anasaka vizee zaidi akaona ajifanye mtoto mdogo ili asipatikane. Akaanza kula vyakula vya kitoto na kuo...

MUMEO ANAKUNYWA KONYAGI?

February 27, 2014
WIKIENDI ndo hiyo wadada wamejazana saluni wanapambwa, ila mmoja katoa kali; MDADA : Unadhani ulivyonipamba mume wangu ataniona mzuri? MPAM...

UKINIPIGA UTAONA

February 24, 2014
Kipofu kampiga mtu mpaka kamuua, akafikishwa mahakamani; HAKIMU : Kwanini umefanya ukatili namna hii? KIPOFU : Mheshimiwa marehemu alisem...

BABA YUKO CHINI YA MAGUNIA

February 23, 2014
Jamaa alikuwa anapita kijijini akakuta ajali, akakuta Trekta lililokuwa limepakia magunia ya mahindi lilikuwa limepinduka na kuna kijana a...

MAITI YALALAMIKA KUTEKENYWA

February 21, 2014
Jamaa walikuwa wanaosha maiti kuitayarisha kwa mazishi, ghafla maiti ikaanza kucheka; MAITI : Kwi kwi kwi kwi Mnanitekenya mwanzenu jamani...

FISADI AJIKOJOLEA LAIV

February 19, 2014
Fisadi kaiba mkwanja akaona itakuwa soo akiuweka benki maana siku hizi mtu hata ukiweka hela zako Uswisi watu wananusa, akanunua sanduku ...

MKEO HAJUI KISWAHILI

February 19, 2014
MLEVI 1 :Niambie ukweli , wewe ni kama ndugu yangu, hivi kwani watu mtaa huu wanamfwatafwata sana mke wangu? MLEVI 2 : Unasikia bradha mi n...

SIRUDI TENA GWANZHOU

February 15, 2014
Janfoi chu Li xu huan zhen feu zhech feng Lee.  Ming yao yeng kong hong king? Ming hao shu wein shao shing xhen yui wa.. Na kwa hiyo ndio ...

KIPIMO CHA UCHIZI

February 14, 2014
Juzi kwenye hivi vipindi vya TV ambavyo wadada wameshika hatamu kutangaza, na huwa wanawauliza watu mambo mengi tu nilisikia kali. Mdada ...

PAKA KAFUNGWA DRAFT

February 14, 2014
Jamaa kaenda kumtembelea rafiki yake akamkuta anacheza draft na paka wake; JAMAA : Duh aise huyu paka wako wa ajabu ana akili sana anachez...

UZEE HUO

February 12, 2014
JAMAA: Dokta sijisikii vizuri yaani nikiwa natembea macho yanaanza kuona vidotidoti DOKTA: Uzee huo JAMAA: Pia huwa nikiamka asubuhi mgon...

YAANI NI MUUJIZA UMETOKEA

February 12, 2014
Rafiki yangu mpenzi, Nakuandikia barua hii lakini roho inanisuta najisikia vibaya sana, lakini tatizo nililonalo ndilo linanilazimisha ni...

LOH MKE WANGU TUMESHAIBIWA

February 12, 2014
Wakati kesi inaendelea hakimu akawataka wazee wa baraza watoe ushauri; HAKIMU ; Wazee naomba mnipe ushauri kuhusu huyu mshtakiwa ili nito...

PARTY YA KUAGA UBACHELA

February 12, 2014
WIKI MOJA KABLA YA HARUSIII.... BWANAHARUSI MTARAJIWA : Kesho tuna party ya mabachela wenzangu kuniaga BI HARUSI MTARAJIWA : Hizo party ha...

VIPI NIWATAARIFU MOCHWARI?

February 10, 2014
Jamaa alikuwa anafanya kazi mochwari, siku hiyo akaamka na bonge ya homa, akaenda na mkewe hospitali wakati anapimwa damu na nesi, mkewe ...

AFANDE NAOMBA PF 3

February 10, 2014
JAMAA kaingia kituo cha polisi huku anavuja damu kichwani; POLISI : Nini tena wewe? JAMAA : Naomba PF3 nikapate matibabu POLISI : Umefan...
Powered by Blogger.