BABANGU ANAWEZA KULA TAA

January 29, 2014
DOGO 1: Mi babangu anaweza kula sufuria nzima ya ugali DOGO 2: Mi babangu anaweza kula kuku mzima peke yake DOGO 3: Mi baba yangu anaweza...

HISTORIA YA BOSI WETU

January 29, 2014
Mimi mwenyewe 'live' Naitwa John Kitime , nilianza kufurahia vichekesho mara baada ya kuzaliwa na kukuta watu wazima kila...

SIJUI NIKIMBIE MJI?

January 27, 2014
Text messages za leo; MDADA : Baby naomba credit ya elfu tano nataka kumpigia simu baba Arusha. MDADA :Baby nakuja geto niandalie chips n...

MINYA SEND, MINYA SEND

January 27, 2014
Jamaa mmoja kwa muda mrefu alikuwa anamfukuzia binti mmoja mrembo  na kila mara alikuwa anatolewa nje na yule binti kwa visingizio mbalimba...

HE UNA UGONJWA WA ZINAA

January 27, 2014
Manesi wengine noma, jamaa alienda hospitali kumuona dokta. Akamuendea nesi aliyekuwa akipokea wageni ambao walikuwa wengi wamejazana kwe...

NAFUNGA BLOG

January 24, 2014
Kumpima mtumie ujumbe wa simu mwambie "Baby I love you", atakujibu 'I love you too". Ukimwambia "I miss you",...

VAA UPESI KAITE AMBULENSI

January 22, 2014
Jamaa karudi ghafla nyumbani si akasikia sauti za ajabu toka chumbani kwake, akapiga ukelele na kuvunja mlango akamkuta mkewe akitetemeka; ...

MBONA ZOTE RANGI MOJA

January 19, 2014
Mume kaingia duka la nguo na kamnunulia my waif wake chupi dazani moja zote za rangi moja, akaenda kumzawadia. Mupenzi akashukur...

KWA WATENDA DHAMBI TUU

January 19, 2014
Kuna watu huwa wanajifanya wajanja lakini ujanja wao ndio kifo chao halafu huwa hawajifunzi kila anapojifanya mjanja ana...

HAKUNA KULALIANA HAPA

January 16, 2014
DOGO : mama naomba nikalale kwa akina Helena, mama yake amesema ataturuhusu tulale chumba kimoja mmoja juu mwingine chini MAZA : Kasema ...

MTEJA MFALME

January 11, 2014
Jamaa kapata kazi ya kuuza duka, siku moja bosi wake kaingia ghafla dukani kakuta ubishi mkali na kijana wake anamtukana mteja. Akaamulia u...

BEBI NINA MIMBA

January 11, 2014
MDADA : Bebi sizioni siku zangu MKAKA : Kwa hiyo mie nimekuibia? mie mwizi sio? Yaani umeona sasa ndio unidharau kabisaaa. Hebu beba kilic...

UNATUMIA SAHANI YAKE

January 11, 2014
MGENI : Dah mbwa wenu mbona ananiangalia sana ninapokula? DOGO : Labda kwa sababu unatumia sahani yake anayotumiaga kula

BINTI YANGU NI WA KIKE

January 09, 2014
Wababa watatu wamekutana bar, ulevi ulipowazidia  wakaanza kuongea kuhusu binti zao, BABA 1 : Kuna siku niliingia chumba cha binti yangu n...
Powered by Blogger.