IDADI YA WAGENI

19 December 2013

SIJUI MIMBA YA NANI

MAMA: We una mimba?
BINTI: Ndio mama, ilikuwa tunafanya majaribio kwenye projekti ya bayolojia chuoni
MAMA: Mungu wangu, sasa nani baba wa mtoto?
BINTI: Sijui, ilikuwa Group Project

0 COMMENTS/TUMA MAONI:

UA-35416264-1