BINTI UNASEMA ULIBAKWA?

November 28, 2013
Binti mahakamani kashtaki kuwa kabakwa, HAKIMU : Binti umeshtaki kuwa umebakwa na mwenzio anasema mlikubaliana, unaweza kuieleza mahakama k...

SI UMESEMA NIMKATEKATE

November 26, 2013
Jamaa mmoja mwenye akili hazijatosha kenda kuomba kazi ya usanii  Bongo muvi ili aekt. Kuondoa kero dairekta akamkubali . Wakampa na panga ...

MAMA YUKO JUU YA PAA

November 23, 2013
Jamaa mmoja alikuwa akiishi na mdogo wake na mama yake, pia wakawa na kambwa ambako jamaa alikapenda mno. Siku moja akapata safari ya wiki...

MJANE MZEE ANAKAA WAPI?

November 19, 2013
Jamaa : Mjomba nina jambo linanizingua. Mjomba : Nini tena nambie Jamaa : Nataka kuoa sasa nina wapenzi wawili, wa kwanza ambaye ndiye mo...

VIATU VINAUZWA

November 15, 2013
  Pendeza wiki endi hii na viatu swafiii toka Uchina. Vinatumika mara moja ukibahatisha kuwa navyo mara mbili shukuru Mungu.

AKUU MI SIVAAGI

November 14, 2013
MAMA MWENYE NYUMBA :Jamani chupi zangu sizioni zinaenda wapi? We dada au umechukua wewe? MDADA WA KAZI : Akuu mi sivaagi muul...

UTACHEKA HUKU UNALIA

November 14, 2013
MUME : Hawa wanasaikolojia wanachekesha, eti mtu unaweza kusikia jambo likakuudhi na kukufurahisha wakati huohuo. Hahahahaha mke wangu unaw...

UNANITAFUNA KICHWA MIMI?

November 09, 2013
Dogo alikuwa katika usingizi mzito akaota anatafuna papai, akalitafuna mpaka likaisha, ghafla akaona nazi, akajaribu kuivunja akashindwa ak...

TUNAUZA MVUA TOKA CHINA

November 09, 2013
Kijana ndio kwanza kaajiriwa kuuza dukani, siku hiyo mwenye duka akiwa kakaa kwenye kiofisi cha ndani akasikia kijana wake akimjibu mteja...

DOKTA NIKASTRETI PLZ

November 07, 2013
SUPASTA: (Mwenye upeo mdogo wa Kiingereza lakini hakubali hilo) Dokta, how are you mshkaji? DOKTA: I am okay SUPASTA: Dok unajua I am sup...

MBONA WEWE UNAVAA CHUPI?

November 04, 2013
Mr na Mrs walikuwa katika hali ya kununiana, MKE : Naomba hela nikanunulie sidiria MUME : Sidiria ya kufanyia nini? Matiti yenyewe huna ...
Powered by Blogger.