VIPI BEBI UWAPI?

MKAKA: Vipi bebi uwapi?
MDADA: Oh daddy alimtuma dreva wetu anifwate anipeleke salun kutengeneza nywele huku Masaki ndo naelekea huko. We uko wapi?
MKAKA: Niko nyuma yako kwenye hili daladala la Mbagala, nilitaka kukwambia usilipe nimeshakulipia

No comments:

Powered by Blogger.