HAPANA YULE SHEMEJI YANGU

October 31, 2013
Mwanamke mmoja alifiwa na mumewe na baada ya muda mfupi akaolewa na shemeji yake, mdogo wa mumewe. Picha za mumewe zilikuwa bado zimetundik...

DIA TICHA OF MY CHILDS

October 30, 2013
Ole wenu mnaopeleka watoto shule za Akademia toka nursery, mmama mmoja amelazimika kumuandikia mwalimu wa mwanae Kiinglish kama ifuatavyo-...

NINA MIMBA YAKO

October 30, 2013
MDADA : Nina mimba yako MKAKA : Umeanza uwongo wako MDADA : Haki ya Mungu tena MKAKA : Ok nirudishie upesi

NINGEKUFA MAMA ANGENIUA

October 30, 2013
Mtoto moja alikuwa anaishi kwenye nyumba iliyokuwa na muembe nje, kila siku alipenda kuupanda mti huo, na kila siku kulikuwa na ugomvi mku...

GLORIA GANI HUYO?

October 29, 2013
MKE : Hello mume wangu, yamenikuta makubwa nashukuru Mungu niko hai. Nilikuwa naelekea kwa Gloria, gari likapata pancha na kuanza kuyumba l...

SOV KITENDAWILI HIKI

October 27, 2013
Wamama wawili walijikuta magari yao yamegongana. Wakashuka kwenye gari wakaanza kutoleana kashfa, hasa yule aliyekuwa na vogue akamtukan...

ETI NOVIDA HAKUPAFOM?

October 27, 2013
Blog hii tata bado inafanya uchunguzi kujua huyu mdada wa hapa Sinza aliyeenda kwenye tamasha kubwa jana ana maana gani. Anadai umeme ulika...

VICHWA VYA HABARI TODAY

October 23, 2013
 Njomba chacha hii kiboko unakuja Tanjania kuangalia Panya Buku? Tunajua njomba unapenda chamaki nchanga lakini hii chacha imechidi kipim...

HAYAKUHUSU

October 22, 2013
MKE : Naomba tuongee MUME :Ongea MKE : Ni kuhusu huyu hausgel wetu MUME : Hilo ni tatizo lako halinihusu MKE : Ana mimba MUME : Hilo ni tat...

I AM HALF CASTE

October 21, 2013
YAMENIKUTA....Jana nilienda Karaoke pale Nyumbani Lounge, nikakutana na kabinti ka nguvu; MZEE MZIMA: Hi mambo binti KABINTI: Okay, ahh M...

MI SIJAIBA SIKU ZAKO

October 21, 2013
Msela kapata bonge ya zali, binti mzuri kampenda akamkaribisha waishi wote. Maisha yakawa matamu, mapenzi motomoto, hatimae binti akagundua...

OYAA USIVUE WEWE

October 20, 2013
DOKTA : Haya dada tumekupima karibu kila kitu, presha safi, huna kisukari,figo safi, sasa hebu tuone kale kasehemu ambako nyie wakinadada ...

JUMA MBONA UNARUSHA NGUMI?

October 16, 2013
  Juma alikuwa anajifanya anajua sana kutania watu. Siku hiyo akamkuta rafiki yake Jaks kakaa ana mawazo akamshika shavu na kumtania kuwa a...

SIMBA ANATISHA BWANA

October 16, 2013
MTANGANYIKA: Leo nimeponea chupuchupu kuuwawa na simba MBONGO : He ilikuwaje? MTANGANYIKA : Nilikuwa nimechuchumaa najisaidia nyuma ...

ATHANTE NA WEWE

October 12, 2013
Jamaa alikuwa kwenye basi wakawa wanapita kwenye mji mmoja akamuuliza binti waliyekuwa wamekaa kiti kimoja; JAMAA : Hapa panaitwaje? BINT...

NA WASIWASI NA ELIMU YAKO

October 11, 2013
NDUGU MSOMAJI ...............Je wewe ni msomi? Je, wewe hukuwa unatoroka darasani? Je , wewe hukua unalala usingizi darasani? Kama kweli u...

TOTO NJULII KULA UPECHII

October 10, 2013
Bikizee kasikia ‘Izrail mtoa roho’ anasaka vizee zaidi akaona ajifanye mtoto mdogo ili asipatikane. Akaanza kula vyakula vya kitoto na kuo...

BABA YAKE NI WEWE

October 10, 2013
MUME : Mke wangu, niwe mkweli pamoja na kuwa kwa sasa tuna watoto sita mimi bado nakupenda sana. Na hakuna kitu kitakachoweza kunifanya n...

MUME WANGU NAFA

October 09, 2013
Mume alikuwa baa anakunywa, akamtext mkewe,' Vipi wife habari za saa hizi?'. Mke akajibu 'Mume wangu nafa'. Mume akashuka ...

'MUME WANGU NIKIFA UTAOA?'

October 08, 2013
Mke: Mume wangu hivi nikifa utaoa tena? Mume: Hapana Mke: Kwanini? Hutaki ndoa? Mume: Basi tu Mke: Kwa hiyo hata sasa hutaki ndoa? Mume: Na...

WALI UMEKWISHA MZEE

October 07, 2013
Kaiza : Weita leta menu Weita : Mzee hatuna menu, we agiza chochote kile sisi tunacho. Kaiza akaona amtanie weita. Kaiza : Poa basi nile...

HUYU NAMUACHA

October 06, 2013
 Leo kanipigia simu mapema asubuhi, eti ananiuliza, 'Good morning Baby, eti  namba yako ya simu ngapi? Nikumbushe mie nimeisahau natak...

NAUZA DUNIA

October 05, 2013
MLEVI 1 : Mi naweza kukununulia dunia MLEVI 2 : Huwezi MLEVI 1 : Nasema NAWEZA MLEVI 2 : Huwezi kwa sababu siuziiii

NDOA BASI IMENISHINDA

October 05, 2013
Mdada baada ya kuolewa kwa siku chache kampigia simu mama yake; MDADA: Mama mi ndoa imenishinda huyu mwanaume ananipigia kelele hata vitu ...
Powered by Blogger.