AFANDE VIBAKA WAMENIIBIA NANIHII

Afande huwezi kuamini, nilikuwa nimelala usingizi, nilipoamka si nikakuta vibaka wameniibia kila kitu, nyinyi kama watu wa uslama tafadhali nitafutieni mali zangu, nyingine siwezi hata kuwaambia hadharani

No comments:

Powered by Blogger.