ACHA KUBISHANA NA WATAALAMU

Jamaa alikuwa anaumwa sana mkewe akamwita daktari, daktari alipofika akamkuta jamaa kafumba macho;
Dokta: Huyu mbona amekwisha kufa
Jamaa: Sijafa bwana
Mke: Hebu nyamaza bwana acha kubishana na wataalamu

No comments:

Powered by Blogger.