WENZIO WOTE TAYARI KWANINI WEWE HUTAKI?

Yaani naamulia kesi kubwa, jamaa yangu Mzambia kaja kushtaki, mke wake kamshikia bango leo kamuuliza swali swali ambalo ndio linaleta kesi kubwa.
MKE: Hivi mume wangu kwa nini hutaki kutahiriwa? rafiki zako wote wametahiriwa

1 comment:

Itika Majivuno said...

Nafikiri jamaa anadumisha mila! Kama Mungu angeona mkono wa sweta hauhitajiki si angekata huko huko? Ila hata Yesu alikatwa ingawa hakuwa na mke!

Powered by Blogger.