MKE WANGU WE VIPI?

August 22, 2013
Jamaa alikuwa na mke wake akasimamishwa na trafiki, TRAFIKI: Bosi mbona unaenda spidi 70 kwenye eneo la kwenda spidi 50? ...

MARUFUKU KUPATA AJALI HAPA

August 20, 2013
Kuna madereva wengine wakorofi wanapata ajali kila mahala, sasa ni vyema kuweka kibao kama hiki ili wasiwe wanapata ajali hovyo bila mpan...

YULE MBONA HALII

August 20, 2013
Ilitokea bonge ya ajali. Jamaa mmoja alikuwa kakatika mkono na analia kwa kelele. MJAMAA: We acha kulia bwana, ona yule jamaa pale kakatik...

BABA AMKA CHAKULA TAYARI

August 18, 2013
Dah mambo mengine bwana, juzi nilipita pale Sinza darajani nikielekea home nikaona mfuko umetupwa, kuuangalia ndani nimekuta dola 20,000...

TUMIA ATM WATAKUZIMIKIA

August 18, 2013
Jamaa kajiunga na GYM iliyokuwa na mashine kadhaa za mazoezi, na hapo ndani kukawa na madada kibao wanafanya mazoezi, jamaa kachanganyikiwa...

NILIKUWA NAWAHI HARUSI

August 16, 2013
Jumamosi fulani Trafiki kamkamata jamaa aliyekuwa anaendesha gari spidi, kila jamaa alipojaribu kujitetea Trafiki hakusikiliza, ila a...

NAOMBA UNIUZIE TINDIKALI

August 16, 2013
Mdada kaingia duka la kemikali, kamkuta mfamasia mwanaume wa makamo hivi; MDADA : Naomba tindikali kuna mshenzi mmoja nataka kumtia adabu...

AUNTY NISAIDIE

August 16, 2013
Duh nimeisoma barua hii kwenye gazeti moja jamaa anaomba ushauri, kaandika hivi; Aunty Fatu, tafadhali nipe ushauri katika hili tatizo la...

NAFASI ZA KAZI

August 12, 2013
Part Time Stand-Up Comedians / Wachekeshaji Do you think you have it? Are you funny? Come for auditioning for standup ...

NACHUKUA WOTE WAWILI

August 12, 2013
Mdada alienda super-market kununua kuku, bahati mbaya kwenye frij kulikuwa na kuku mmoja tu, muuzaji akamtoa akamuweka kwenye mzani, akaone...

WE MJUKUU MJINGA SANA

August 12, 2013
Babu kaenda kumtembeza mjukuu wake kwenye makaburi ya kijiji; BABU : Unaona kaburi hili huyu jamaa alikuwa mtu, nilimkopesha fedha, akajit...

HALELUYA ALIKUWA KAZIMIA

August 07, 2013
MUME karudi alfajiri kusha anza kuwa kweupeeee MKE: Jmani ndio unarudi saa hizi ulikuwa wapi? MUME: Dizasta mke wangu, simu yangu iliisha...

HAYA NISUKUME

August 05, 2013
Ilikuwa usiku wa manane, mtu na mkewe walikuwa wamelala usingizi, ghafla wakasikia mtu anagonga mlango. Mume akaamka na kufungua mlango; ...

BINTI SIJAKUKASIRIKIA WEWE

August 05, 2013
Kigogo mmoja wa hishma alikwenda ziara ya kuhamasisha maendeleo katika mji fulani, akapangiwa hoteli nzuri, wenyeji wake ili kumfurahisha ...

HERI AIBU KULIKO KIFO

August 02, 2013
Mke kasikia mumewe ambaye alikuwa safari akigonga mlango wa nyumba yao afunguliwe, naye alikuwa na bwana mbaya zaidi walikuwa wanaishi gh...
Powered by Blogger.