HAFAI HUYO SHOSTI

MDADA: Shosti wanaume hawaaminiki kabisaaa, yaani boyfriend wangu ananidanganya mimi hivihivi
MSHOSTI: Kwani vipi mwaya
MDADA: Nimemuuliza jana Jumapili mchana alikuwa wapi maana nilikuwa simpati kwenye simu, eti akanijibu walikuwa na Anko J Serena wanadiscus project yao
MSHOSTI: Sasa?
MDADA: Hana lolote, mi nimeshinda na Anko J kutwaa jana tunajinafasi
MSHOSTI: Hafai huyo sio mwaminifu atakusumbua bure shoga

1 comment:

Anonymous said...

Wote sio waaminifu

Powered by Blogger.