DAH MPAKA CHUPI IMEKONDA

July 31, 2013
Binti alifariki kwa ukimwi. Nyanya yake akawa anakusanya nguo zake ndipo alipokumbana na G String ya marehemu BIBI : Sasa nimeamini u...

KIZUNGUMKUTI NDIO HICHOOO

July 30, 2013
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Arusha kwenye mkutano, hivyo jitayarishe. SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda...

MORO GUEST

July 29, 2013
Chapu chapa hairuhusiwi lakini kuna uwezekano wa kupewa bei..............................

VUA VUA UPESI VUA

July 29, 2013
Mtu na mkewe waliingia kibanda cha mganga wa kienyeji kutafuta dawa kwa ajili ya mbaba aliyekuwa hawezi kutimiza majukumu yake kama mume...

DABO STANDADI

July 27, 2013
YANKI : Baba nimepata msichana BABA : Hongera huo ndio uanaume DADA YAKE YANKI : Baba nimepata mpenzi BABA : Mshenzi mkubwa , mwambie hu...

BABA BASI NIBUSU MIMI

July 27, 2013
MUME : Mke wangu naomba nikubusu MKE : Sitaki MUME : Ntakununulia pete ya gold MKE : Staki MUME : Ntakununulia gari MKE : Sitaki....mt...

KUNYWA KUTWA MARA TATU

July 27, 2013
Dokta : Mama tumemchunguza mumeo kwa makini sana, jopo lote la madaktari tumekubaliana mumeo anahitaji mapumziko japo ya mwezi. Sasa tafad...

UTUMBO WANGU WOTE UMETOKA

July 26, 2013
Jamaa fulani alikuwa na tabia ya kujamba kwa nguvu kila aamkapo asubuhi. Mkewe alikerwa sana na tabia hiyo, alimkataza akachoka, siku moja...

KISUSIO BAR IKO WAPI?

July 25, 2013
Jamaa kaingia kituo kidogo cha polisi amevimba kwa hasira, Jamaa: Afande nisaidieni ntamuua mke wangu Afande: Tulia bwana kwani vipi? J...

VICHWA VINGINE HIVI HAPA

July 25, 2013
 Duh kweli hawa waandishi wachunguzi kuliko wa blog hii Halafu jamani si mnajua wanaijeria nyinyi, mnamloga hivhiv ngoja rivenji yake...
Powered by Blogger.