HAYA WOTE MSEPE SHENZTAIP

Bonge ya mnuso ulikuwa unaendelea tatizo likawa maget krashaz ndo wengi zaidi, jamaa akaskuut atawatambuaje, akasimama akatangaza.
MWENYEJI: Wale ndugu wa bibi harusi simameni hamieni viti karibu na lango.....jamaa kama 20 hivi wakahamia huko
MWENYEJI: Wale ndugu wa bibi harusi wahamie viti jirani na hao wenzao....watu kama 30 wakahamia.
MWENYEJI: Haya wote nyie tokeni nje maana hii ni birthday party yangu hakuna harusi hapa

1 comment:

Ab ze bur said...

Hahahahaaa ila ndo ujanja hapo mjn

Powered by Blogger.