WANAKULA RUSHWA

March 27, 2013
Jamaa kaandika kwenye gari lake, 'TRAFIKI WANAKULA RUSHWA'. Haukupita muda Trafiki wakamkamata na baada ya kipigo kizuri tu akalipa ...

NIKUPE TOOTHPICK?

March 15, 2013
Ulitoa mchango wako mkubwa kwenye vikao vya harusi, sasa siku ya harusi unapanga foleni ya chakula, inapofika zamu yako chakula kinaisha, un...

MAMA MKWE SIMTAKI MWANANO

March 13, 2013
JAMAA: Mama mi na mwanao basi, nimechoka MAMA MKWE: Kwani vipi mkwe? JAMAA: Nilikuwa safari nimemtumia mke wangu ujumbe kuwa niko njiani n...

BABA MI NIMETOKA WAPI?

March 13, 2013
DOGO : Eti baba mi nilitoka wapi? BABA : Dah, unajua mwanangu umeuliza swali zuri sana, kimsingi, ni mefurahi kuwa umeuliza, sasa eh eh eh ...

PIKA UGALI

March 11, 2013
Mmama kaenda polisi; MMAMA : Kuna tatizo, mume wangu ameondoka nyumbani toka jana akanambia anaenda sokoni, kununua viazi na hajarudi mpaka...

NAMPIGA MAMA

March 11, 2013
Mtoto kwa bahati mbaya kaingia chumbani kwa wazazi wake kawakuta wako faragha. MTOTO: Baba mnafanya nini? BABA: Nampiga mama MTOTO: Mama ...

NANI FALA ZAIDI?

March 08, 2013
BABA: Sikiliza Dogo akija mtu kunitafuta mwambie nimesafiri DOGO: Sawa  baba............... MGENI: Dogo baba yako yupo? DOGO: Baba kasafiri ...
Powered by Blogger.