UNAPOSAHAU SIMU NYUMBANI

February 24, 2013
Jamaa alikuwa njiani anaenda kanisani, si akashtuka kukumbuka kuwa ameacha simu yake nyumbani. Haraka akageuza njia na kuanza kurudi  nyumba...

SWALI LA FOM FO

February 24, 2013
Fom fo ya kibongobongo; Q 1. Describe a cow; Jibu toka kwa fom fo; He is the cow. He has 4 legs together 2 towards and 2 afterwards It g...

zhen feu zhech

February 23, 2013
Janfoi chu Li xu huan zhen feu zhech feng Lee.  Ming yao yeng kong hong king? Ming hao shu wein shao shing xhen yui wa.. Na kwa hiyo ndio hi...

KICHAA BIN UCHIZI

February 18, 2013
Kichaa ni pale unapopata txt toka kwa mswity wako wa maisha inasema,' Sweety mi nimechoka naona tuachane', uchizi ni pale inapofuati...

YULE NI MIMI NAENDA KAZINI

February 18, 2013
Jamaa alionekana kapona hivyo atolewe kwenye hospitali ya machizi arudishwe kwao. Asubuhi mmoja akachukuliwa na ambulance mpaka jirani na kw...

MPIGA CHABO

February 17, 2013
Wapiga chabo au peeping toms wako dunia nzima, wengi wamepoteza macho yao Uswahili kwa kuchomwa na misongo, kupuliziwa dawa za mbu au perf...

CHILI TOMATO

February 16, 2013
MTEJA : Nipatie chips mayai MKAANGA CHIPS : Niweke tomato? MTEJA : Chili tomato. …. Mkaanga chips akatengeneza c...

CHUPI YETU

February 15, 2013
MUME : Unajua mi nakushangaa sana, kila siku nakusikia mara usema TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, watoto wangu, sisi ni wanandoa kila...

MAOMBI MKANGANYIKO

February 13, 2013
MUME: E Mungu niondoe katika huu umasikini, nifungue katika kifungo hiki cha kukosa fedha, sikiliza kilio changu E Mungu MKE: E Mungu nisik...

BABAKO ANA HELA?

February 12, 2013
BINTI : Baba nimepeta mchumba, kijana mtaratibu mcheshi BABA (Tajiri): Mchumba mwenyewe ana hela lakini? BINTI : Nyie wanaume wote mko saw...

SOMA KITIME 29: 1-5

February 10, 2013
1. Na ikatokea katika zama za utawala wa awamu ya 4, mara baada ya lile apizo la kuingia katika dijitali, muda mfupi baa...

MAPENZI YETU YAWE SIRIAZ

February 08, 2013
MDADA : Mpenzi wangu mbona huwa hutabasamu hata kidogo ukiwa na mimi? MKAKA : Jamani si we mwenyewe ulisema unataka tuwe siriaz kwenye map...

VICHEKESHO YA KENYA

February 04, 2013
1. Guy:Mwisho wa gari ni wapi?            Conda:Penye unaona number plate. 2. Konda: Huna pesa ndogo boss.             ...

Du mie sina sumu

February 01, 2013
DEVI: Aise nimekuwa namkutafuta siku nzima FULO: Kwani vipi? DEVI: Ndugu yangu nina matatizo lazima ikifikia saa kumi na mbili niwe nimepa...
Powered by Blogger.