FB STATUS UPDATE

January 30, 2013
KUNA MDADA NIMEFUATILIA FB STATUS UPDATE KWA MIEZI MIWILI:- NOV 16, 2012-Wow! THIS IS IT kama alivyosema Michael Jackson, I just found t...

MKEO TULISHAWAHI WOTE

January 26, 2013
MUME: Aise tafadhali salimiana na mke wangu Fulo JONI: Dah kumbe huyu ndie mkeo, namfahamu sana MUME: He umemfahamia wapi tena jamani? JO...

PEDESHE KAKUPINDUA

January 26, 2013
Mke kaamka analia; MUME : Jamani vipi tena mbona unalia asubuhi hii? MKE : Nimeota Pedesha mmoja, bonge ya hendsam, kaja kakupiga sana, ha...

SWAGA ZA KIJIJINI

January 26, 2013
Swaga za jamaa yangu aliyekaa Dar kwa muda mfupi sana sasa karudi kijijini; WAMJINI : Unajua msikaji Ulaya na Tanzan...

SWAGA ZA WADADA

January 24, 2013
SWAGA ZA WADADA ZETU ILI WAONEKANE NAO WAMO HASA WAKITOKA USWAZI WAKAWA WAMENDA OUT MITAA YA USHUANI;;; 1. Halima………mu...

MPENZI WANGU TOKA UVUNGUNI

January 24, 2013
Jamaa karudi home ghafla na kupata mshtuko kukuta mkewe mpenzi ana bwana ndani, baada ya zogo kubwa, wanaume wakaenda ukumbini kumalizana ki...

ALAMA KUWA UMELOGWA

January 23, 2013
Kwa bahati mbaya kuna Wabongo wana roho mbaya, na mbaya zaidi wanaweza kukuendea kwa mganga hata kijijini kwao ili tu usifanikiwe...

DREVA SIMAMISHA

January 23, 2013
Mlevi alipanda daladala akiwa anatoka Msasani anaelekea kwake Ubungo, mara simu ya mdada jirani yake ikalia; MDADA : Hellow, Sweety mambo? ...

KAOGEEEEEEEE

January 22, 2013
Ukiwashwa kiganja wanasema utapata pesa, ukiwashwa jicho wanasema kuna mtu anakuteta. Ukiwashwa sehemu za siri ujue hizo fungus..kaogeeeeeee...

HELOO HAPO MIREMBE?

January 17, 2013
JAMAA : Hapo Mirembe? NESI : Ndio JAMAA : Hivi chumba na 17 kuna mtu? NESI : Ngoja niangalie...ahh hakina mtu vipi? JAMAA : Niliona nipige s...

WHERE DID YOU WENT?

January 17, 2013
Nimekuwa nazunguka sehemu nyingi hapa Dar kupata vituko, lakini kwa kweli hizi sehemu wanazokwenda enjoy wale wanaojiona...

HILOOO SIO ISHU SWITYY

January 16, 2013
Jamaa alikuwa kwenye Hummer na mbebs wa ukweli, ambaye wakati huo alikuwa akilamba ice-cream huku kiyoyozi kinampuliza, gari liko kwenye s...

BOSI WETU BABA MKWE WANGU

January 16, 2013
Baada ya mke kupokea kipigo kikali toka kwa mumewe, akakimbilia police post. MKE: Mume wangu anauza madawa ya kulevya, alivyoona nimemgundua...

TUMWAMBIE MUMEO AU?

January 15, 2013
Jamaa kenda kwa Mwenyekiti wa serikali za mtaa, JAMAA : Mke wangu hataki kunipa unyumba hebu ongea nae, nimekuja nae. MJUMBE : Hebu muite,...

MKEO HAJUI KISWAHILI

January 09, 2013
MLEVI 1:Niambie ukweli , wewe ni kama ndugu yangu, hivi kwani watu mtaa huu wanamfwatafwata sana mke wangu? MLEVI 2: Unasikia bradha mi ntak...

KWA WAGOGO TU

January 08, 2013
Mihanyenye,  NOKIA wameboresha huduma kwa kuweka Kigogo kwenye simu zake; Phonebook-CITABU CE CIMU Names-MATAGWA Time-MAPANGO Ringtones-MIL...

KWELI YULE NI MWANAWE

January 06, 2013
Mlokole mwenye guest alikataa yanki mmoja aliyekuja na mama mtu mzima kupata chumba akisisitiza kuwa guest yake hairuhusu uasherati. Yule ma...

HAMSINAKUMI

January 04, 2013
MWALIMU: Joni 30 +4? JONI: Thelathini na nne MWALIMU: Safi sana. Fulo 40 +6? FULO: Arubaini na sita MWALIMU: Safi sana. Haya gulo 50+10...

VIDONGE VYA UMILIONEA

January 04, 2013
JE UNATAKA KUWA MILIONEA? HATIMAE VIDONGE VIMEGUNDULIKA. NITUMIE SHILINGI ALFU KUMI KWA AJILI YA CHUPA YA KWANZA YA DAWA ZA UTAJIRI

MAMA ATARUDI SASA HIVI

January 04, 2013
MDADA: Ujue mama atarudi sasa hivi MKAKA: Kwani nimekufanya chochote? MDADA: Ndio maana nakwambia fanya haraka kabla mama hajarudi

TAFADHALI KOJOA HAPA

January 04, 2013
Jamaa alikuwa kisha choka na watu waliokuwa wanakuja kukojoa kwenye kichochoro nje ya dirisha lake. Hata alipoweka matangazo kama, Usikojoe ...

BAUNSA KALETA BALAA

January 04, 2013
Baunsa wa night club alienda kutibiwa mgongo kwa doctor. DOKTA: Ilikuwaje mpaka ukapata mshtuko wa uti wa mgongo? BAUNSA: Nilipoingia hom...
Powered by Blogger.