NAOMBA UNGA

December 30, 2012
OMBAOMBA kagonga mlango wa Mzee Juma; OMBAOMBA : Mzee naomba mia tano MZEE JUMA : Sina OMBAOMBA : Naomba basi unga kidogo nikapike ugali ...

NGOJA TUTIBU PUA KWANZA

December 29, 2012
KIBABU:Dokta nina tatizo sijui ni uzee au nini lakini kila mara najambajamba hovyo, ila uzuri wake ushuzi haunuki wala hautoi sauti DOKTA: ...

CHA WIKI ENDI

December 29, 2012
Ilikuwa Jumamosi asubuhi, kazee kamjini kakaingia na bonge ya mdada kwenye yard ya magari mapya. KAZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi....kab...

MAFALA WAO HAHAHAHAHAHAHA

December 26, 2012
KAKA P: Oyaa ukiwa faraga na mkeo uwe unafunga pazia jana usiku mtaa mzima ulikuwa unakuchungulia, watu wote wanakucheka Mzee D: Hahahahaha...

WE ONDOKA ZAKO

December 26, 2012
Mdada alikuwa anajua kuwa mumewe yuko safari akamkaribisha mpenzi kwake, kwenye saa 6 usiku mumewe akapiga hodi, mdada akamwambia mpenzi sim...

MALIPO KABURINI

December 26, 2012
Jamaa alikuwa anaishi karibu na makaburi, basi akajigundulia njia ya kupata usafiri bila kilipa, akawa kila akikodi bodaboda na bajaji aliku...

MBILI KWA MPIGO

December 24, 2012
                                 1 DOGO: Eti mama malaika huwa wanapaa? MAMA: Ndio malaika wanapaa, kwanini unauliza? DOGO:Baba alimuita ...

GETI LIKO WAZI

December 24, 2012
Baada ya kukaa miaka mingi katika hospital ya machizi, chizi mmoja akaamua lazima atoroke. Akaanza kufanya mazoezi ya kuruka geti. Kila siku...

MTOTO WANGU BADO MDOGO

December 24, 2012
MZAZI : Kwanini umemfukuza mtoto wangu shule? MWALIMU : Mtoto wako kanishinda hawezi hata kusema spelling za tembo MZAZI : Mwalimu sasa huo ...

NATAKA KO...............

December 22, 2012
Jamaa kaingia supermarket kununua kondom, JAMAA: naomba ko....(akshtuka kumuona mchungaji wa kanisani kwake keshafika pembeni yake) ehhh na...

MI SILI HUKU

December 21, 2012
Jamaa alikuwa kaishiwa hivyo akashindwa kwenda kula kwenye hoteli ya bei ya juu, akakatisha vichochoro akaingia kwa mama ntilie mmoja akaig...

WEKA FANTA BARIDI

December 20, 2012
Mtoto kapelekwa hospitali na mdingi wake, dokta akawa anamuandikia dawa, mara baba yake akatoka nje kuongea na simu. Mtoto akamuinamia da...

NIMEMEZA FUNGUO

December 20, 2012
MJUKUU : Nimemeza funguo wa mlango wa chumba changu DOKTA : Lini? MJUKUU : kama miezi mitatu iliyopita DOKTA : Sasa mbona unakuja leo? MJUK...

UNAJUA MICROSOFT OFFICE

December 20, 2012
BOSS: Nasikia unatafuta kazi, kompyuta unajua? MJAMAA: Sana tu mzee BOSS: Unajua Microsoft Office? MJAMAA: Msema kweli mpenzi wa Mungu, s...

JANA NIMEKUOTA

December 19, 2012
MDADA: Swrty jana nimekuota MKAKA: Umeota nini?, Niko na wewe? MDADA: Hapana nimeota tuko kwenye daladala, ghafla likapinduka likatumbukia...

MAPENZI NA KIFO

December 19, 2012
Unajua maana halisi ya KIFO na MAPENZI? MAPENZI-ni pale mume anapomfumania mkewe gesti na mwananume mwingine, na kwa upole anamwambia mkewe...

NINI SIYO FEKI?

December 18, 2012
Okay okay okay Chekanakitime imemaliza kusoma gazeti moja na haya ndio matokeo. Katika gazeti moja kuna vichwa vya habari hivi hapa; 1. Maj...

MKE WANGU ALINIKUTA

December 13, 2012
JAMAA kaingia kituo cha polisi huku anavuja damu kichwani; POLISI : Nini tena wewe? JAMAA : Naomba PF3 nikapate matibabu POLISI : Umefany...

JAMAA ATAGA MAYAI

December 12, 2012
Jamaa katoka ulevini kalewa sana kama kawaida, akanyata chumbani kwake, ili mkewe asiamke akaingia ndani ya shuka, haikuchukua muda akawa ka...

NANI KAMUUA CHIEF MKWAWA?

December 10, 2012
MWALIMU : Nani alimuuwa Chifu Mkwawa? MWANAFUNZI 1 ; Sio mimi MWANAFUNZI 2 : Jana sikuja shule MWANAFUNZI 3 :Mwalimu kwa kweli sie unatuonea...

MWANASHERIA MKWARE

December 07, 2012
Mwanasheria mmoja mkware alitumia gari yake kama gest, mpenzi wake akasahau nguo ya ndani kwenye gari. Kesho yake mke wa mwanasheria akaikut...

NIPE KONDOM SAIZ NDOGO

December 07, 2012
Babu kaingia chumba cha mjukuu wake kakuta kondom kwenye meza; BABU : Hiki nini? MJUKUU : Kondom BABU : Kazi yake nini? MJUKUU : He babu...

UNAKOSEA KUMEZA

December 07, 2012
MGONJWA : Dokta zile dawa za rangi mbili ulizonipa hazini saidii kabisaa DOKTA : Inawezekana unakosea wakati wa kumeza, kwa vile vidonge v...

ULEVI NOOOOMA

December 07, 2012
Baada ya ulevi wa hali ya juu jamaa kaamka asubuhi kakuta kumbe alibeba changu,  CHANGU : He jamani tulishughulika bila kondom JAMAA : Pom...

KILA KAZI NI MUHIMU

December 05, 2012
MWALIMU : haya watoto leo kila mtu atuambie kazi anayofanya mzazi wake, haya wewe? MTOTO 1 : baba yangu injinia MWALIMU : Safi na wewe MT...

DAH NETWEK IMEKATA

December 05, 2012
Ngriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii MJAMAA : Halloooooooooooooo MDADA : Mambo swity MJAMAA : Poa vipi umenimiss? MDADA : Ile mbaya si ndio m...

HAKUNA SIRI YA WATU WAWILI

December 03, 2012
Hahahahahaha wahenga walisema hakuna siri ya watu wawili, sasa hahahahaha sasa uwiiiii we umeshawahi kuwa na wapenzi zaidi ya wawili, kwa ...

KUJUA KUSOMA USUMBUFU

December 03, 2012
Dah kumbe kujua kusoma sio lazima faida. Tena mara nyingine ni hasara. We fikiria uko katikati ya mji, unataka kujisaidi...

BABA HIZO ZA NINI?

December 01, 2012
1st December-siku ya ukimwi duniani- Mzee anaejiita wa kisasa alienda na mwanae famasi kununua kondom. Alipoulizia akajibiwa ziko za viboks...
Powered by Blogger.