HATUPIMI BANDO

WADHAMINI

3 November 2012

WE KIBOKO, MKIA WAKO UKO MBELE

Jamaa alikuwa porini anaoga, kushtuka kakuta wanyama kadhaa wanamshangaa;
JAMAA:Mnashangaa nini?
SIMBA: Tunakushangaa wewe
JAMAA: Mnashangaa nini cha ajabu?
SIMBA: Aise we kiboko una mkia mbele

No comments: