HATUPIMI BANDO

WADHAMINI

17 November 2012

PAKA ANACHEZA DRAFT DAH

Jamaa kaenda kumtembelea rafiki yake akamkuta anacheza draft na paka wake;
JAMAA: Duh aise huyu paka wako wa ajabu ana akili sana anacheza draft?
MWENYEJI: Hamna kitu hapo, nimeshamfunga mara tatu mfululizo huyu

No comments: