NITAARIFU MOCHWARI?

Jamaa alikuwa anafanya kazi mochwari, siku hiyo akaamka na bonge ya homa, akaenda na mkewe hospitali wakati anapimwa na nesi, mkewe akaona itakuwa vizuri kutaarifu kazini kwake kuwa anaumwa akamuuliza mumewe;
MKE: Vipi niwataarifu mochwari?
NESI: He mwanamke una roho mbaya wewe, ondoa uchuro mume wako haumwi kiviiile

No comments:

Powered by Blogger.