HATUPIMI BANDO

WADHAMINI

19 November 2012

NAMBA HIZO SIO ZENYEWE

Kwenye basi mzee akawa amenunua vocha ya simu akataka kumtumia mwanawe, akampigia simu;
MZEE: Halo nimekununulia vocha ya TIGO, haya andika namba zake ni 2765 3875 3987 3789. Narudia tena 2765 3875 3987 3789 haya. Ghafla tukasikia sauti toka mwisho wa basi
ABIRIA: Mzee namba hizo sio zenyewe haziingii

No comments: