HUJUI MAJINA YA MARAIS

BABA: Huna akili wewe. Wakati mi nilikuwa mdogo niliweza kutaja majina ya Marais wote
MTOTO: Lakini baba, wakati we mdogo Rais alikuwa mmoja tu, Nyerere

No comments:

Powered by Blogger.