HATA MIMI SIKUAMINI

MGONJWA: Dokta nina tatizo kubwa
DOKTA: Nambie nini tena
MGONJWA: Kila mtu ananiona muongo
DOKTA: hata mimi sikuamini

No comments:

Powered by Blogger.