DADA CHUKUA PIN YANGU

Ya leo leo Posta Mpya Dar es Salaam;
OMBAOMBA: Dada naomba msaada dada, hata mia mbili nile
MDADA: Samahani sina kitu muda huu
OMBAOMBA: Basi nikupe pin yangu ya Blackberry, ukipata chochote uniping

No comments:

Powered by Blogger.