PESA ZAKO TUTAJENGEA CHOO

November 30, 2012
Mchungaji kamfuata pedeshe moja maarufu kwa kumwaga pesa kwenye kumbi za muziki; MCHUNGAJI : Kijana, tuko katika harakati za kujenga kanisa...

WIKI MOJA KABLA YA HARUSI

November 26, 2012
WIKI MOJA KABLA YA HARUSIII.... BWANAHARUSI : Kesho tuna party ya mabachela wenzangu kuniaga BI HARUSI : Hizo party hakuna kitu zaidi ya po...

HUJUI MAJINA YA MARAIS

November 23, 2012
BABA: Huna akili wewe. Wakati mi nilikuwa mdogo niliweza kutaja majina ya Marais wote MTOTO: Lakini baba, wakati we mdogo Rais alikuwa mmoj...

HATA MIMI SIKUAMINI

November 23, 2012
MGONJWA: Dokta nina tatizo kubwa DOKTA: Nambie nini tena MGONJWA: Kila mtu ananiona muongo DOKTA: hata mimi sikuamini

NAMBA HIZO SIO ZENYEWE

November 19, 2012
Kwenye basi mzee akawa amenunua vocha ya simu akataka kumtumia mwanawe, akampigia simu; MZEE: Halo nimekununulia vocha ya TIGO, haya andika...

PEDESHE DOMOKUNUKA

November 19, 2012
Pedeshe kaenda kutembelea mali zake. Wakati binti anaoga jamaa akawa anapekua simu ya mdada. Akaanza kucheka majina aliyoyakuta kwenye Conta...

HATA MIMI SIJUI JIBU

November 18, 2012
Juzi kwenye hivi vipindi vya TV ambavyo wadada wameshika hatamu kutangaza, na huwa wanawauliza watu mambo mengi tu nilisikia kali. Mdada ali...

PAKA ANACHEZA DRAFT DAH

November 17, 2012
Jamaa kaenda kumtembelea rafiki yake akamkuta anacheza draft na paka wake; JAMAA : Duh aise huyu paka wako wa ajabu ana akili sana anacheza...

NAITWA MMEWANGU

November 16, 2012
Jamaa mgeni kabisa kaajiriwa kwenye kampuni; SUPAVAIZA : Mheshimiwa unaitwa nani? JAMAA : Naitwa John. SUPAVAIZA : John nani? Unajua jambo a...

WATOTO WALE NI WANANI?

November 16, 2012
  Kasheshe ni pale unapompa  binti mzuri mjamzito lifti kwenye gari lako, halafu anazimia. Kasheshe zaidi ni pale baada ya kumkimb...

MWONGOZO NDUGU SPIKA

November 12, 2012
MBUNGE 1 :Humu ndani nusu ya Wabunge ni waoga na mafisadi MBUNGE 2 : Mwongozo Mheshmiwa Spika, Mbunge aliyepita ametumia lugha ya maudhi, ki...

NITAARIFU MOCHWARI?

November 12, 2012
Jamaa alikuwa anafanya kazi mochwari, siku hiyo akaamka na bonge ya homa, akaenda na mkewe hospitali wakati anapimwa na nesi, mkewe akaona i...

ACHA UMBEYA

November 12, 2012
Jamaa karudi toka kazini kakuta mkewe analia; JAMAA : Vipi tena kuna msiba? MKE : Hapana mama yako kanitukana JAMAA : Mama yangu yuko kijiji...

KILA KITU KIPO

November 12, 2012
Kijana alikuwa ana siku mbili toka aajiriwe kama mhudumu kwenye duka moja kubwa la vyakula akawa anaongea na mama mmoja mteja aliyemuuliza s...

NANI AOLEWE NA MJINGA?

November 11, 2012
MUME : Nikifa nataka uuze nguo zangu zote MKE : Kwanini tena? MUME : Sitaki uje uolewe na mjinga mwingine,  halafu aanze kuvaa nguo zangu ...

MASTER KEY

November 11, 2012
Dunia haina haki, mwanamke akiwa na mabwana 6 anaitwa malaya, mwanaume akiwa na wanawake 6 anaitwa 'kidume'. Au ndio kama hadithi ya...

ZIMEBAKI SIKU KUMI TU

November 10, 2012
Mzee karudi kwa mkewe akitoka hospitali akiwa na sura ya huzuni sana; MKE: Nini tena MUME: Daktari kanambia ugonjwa nilio nao italazimika ...

KUMI KUJUMLISHA KUMI

November 10, 2012
Dogo alikuwa kajua kuhesabu kwa vidole, na mjomba wake alipokuja kuwatembelea haraka sana akataka kumuonyesha kuwa anajua kuhesabu; DOGO : ...

TICHA GEUZA

November 10, 2012
Mwalimu mgeni alikuja na kuanza kuita majina ya wanafunzi darasani; Jaki-nipo Devi-nipo Teddy-nipo Carol-nipo Vanila-nipo Makene-nipo ...

TUKOJOE KIDOGO

November 10, 2012
Jamaa alikuwa anakojoa kitandani kila siku akaona heri aende hospitali kumuona daktari; DAKTARI ; Ukiwa umelala huwa unaota ndoto? JAMAA :...

NIMEPATA FARAJA SANA

November 09, 2012
Baada ya kulala wiki nzima nyumbani kwa kuugua malaria hatimae jamaa alirudi kazini; BOSI : Unajisikiaje sasa? JAMAA : Bosi najisikia fres...

UMEPATA TXT YANGU?

November 09, 2012
MUME akiwa baa kamtumia mkewe txt.....'Aise nifulie nguo zangu, halafu hakikisha umeniwekea chakula ntachelewa kurudi'. Baada ya mud...

KONDOM ZATOBOLEWA NA PINI

November 09, 2012
Wadada watatu walikuwa wamekaa pamoja wakinywa juisi kwenye mgahawa; MDADA 1 : Najua mume wangu sio mwaminifu jana nimekuta chupi ya mwanam...

NASIKIA UNASAGA?

November 08, 2012
Jamaa kaingia bar akiwa kishalewa. Akaenda kaunta akaagiza kiroba, ghafla akamuona mdada mmoja kakaa peke yake pembeni; MLEVI ; Oyaa kaunta...

DOKTA NISAIDIE NAKOROMA

November 07, 2012
CHEKIBOB : Dokta nina tatizo kubwa DOKTA : Nini tena? CHEKIBOB : Nikilala tu naanza kukoroma tena kwa sauti DOKTA : Lazima mkeo analalami...

UNA MATATIZO MAWILI

November 06, 2012
DAKTARI ; Mheshimiwa una matatizo mawili makubwa. Moja kubwa jingine dogo sijui nianze na lipi? MGONJWA : Anza na kubwa DAKTARI :Kwanza ku...

TUMSAIDIE RAYC

November 06, 2012
Mwanamuziki muimbaji Rehema Chalamila maarufu kama RayC amekumbwa na tatizo kubwa la kuathirika na madawa ya kulevya. Kwa sasa yumo kati...

NOTI YA SHILINGI ALFU NANE

November 04, 2012
Tapeli moja mjingamjinga alikuwa na nia ya kutengeneza noti bandia za shilingi alfu kumi, si akakosea kaandika 8000. Akastuka tayari ana not...

HEBU NI TAG

November 04, 2012
TRAFIKI : Hello samahani mheshimiwa hapa kuna ajali mbaya imetokea, na mama mmoja amefariki, tumeambiwa ni mkeo,  tafadhali njoo hapa Muhimb...

AFANDE NIMEBAMBIKIWA KESI

November 03, 2012
Jamaa kasimamishwa na trafiki kwa kosa la mwendo mkali; TRAFIKI : Mheshimiwa unajua ulikuwa unakimbia spidi kali sana? DREVA : Sasa lesen...

DADA CHUKUA PIN YANGU

November 03, 2012
Ya leo leo Posta Mpya Dar es Salaam; OMBAOMBA : Dada naomba msaada dada, hata mia mbili nile MDADA : Samahani sina kitu muda huu OMBAOMBA...

BINTI BOMBAA NA DAKTARI

November 01, 2012
Bi Kizee kasindikizwa na mjukuu wake wa kike mwenye shepu ya nguvu kwenda hospitali kwa kuwa alikuwa anaumwa wakaingia chumba cha dokta; MJ...

MTOE UPESI ALINIBAKA HUYO

November 01, 2012
Jamaa alikuwa amelala na mkewe akasikia sauti ya paka akilia kwa uchungu nje ya dirisha lake, akatoka nje, kwa maajabu akamkuta panya anamba...
Powered by Blogger.