NILIDHANI UTASEMA GARI SI LAKO

Jamaa kamuibukia  supasta wa bongo na gari jipya X6 BMW, wakaenda zao Coco Beach, baada ya vinywaji na malavidavi kwa wingi;
JAMAA: Kuna kitu lazima nikwambie, lakini nina uhakika ukijua hutanitaka tena
SUPASTA: We sema tu swiry
JAMAA: Mi nina mke na watoto sita
SUPASTA: Aiiii ulinitisha mi nilidhani utanambia gari hili sio lako

No comments:

Powered by Blogger.