PIGA MSWAKI UPATE BAHATI

October 29, 2012
Kila subuhi, amka na kitu cha kwanza anza kupiga mswaki meno yako. Hakuna kitu kinaudhi kama unaongea na mtu hajapiga mswaki, hata kama an...

TOILET YA MUDA

October 27, 2012
Kutokana na ukata uliopo, tunaomba kwa kipindi kifupi wababa muwe mnatumia choo cha kulia, na wadada watatumia choo cha kushoto. Hii ni kw...

NIPE NAMBA YAKE

October 27, 2012
MBONGO 1: Aise nina tatizo nipe ushauri. Kuna demu wangu nampenda sana lakini sio mwaminifu kabisa, hajui kukataa nifanye nini? MBONGO 2: N...

VIATU VYA RANGI MBILI

October 26, 2012
Mpolisi kafika kituoni amevaa viatu vya rangi tofauti, kimoja cheusi kingine cheupe. Afande; Askari kwanini umevaa viatu rangi tofauti? ...

NANI KAMFUMANIA NANI?

October 25, 2012
Mmama alikuwa kapanga na Mchuchu wake waende guest-house fulani wakavunje miiko ya ndoa. Ile anafika reception akakutana na mumewe akitoka n...

KANIDHURUMU VOGUE NILILOIBA

October 23, 2012
Siku mbili baada ya kuachiwa huru na mahakama kwa kuonekana hana kosa kwa wizi wa Vogue la pedeshee mmoja, jamaa alikuwa mahakamani tena saf...

HEBU FYATUA

October 22, 2012
TATIZO LA NYIE ASKARI HUWA MNASAHAU KUWEKA RISASI, MBONA SIIONI? HEBU FYATUA NIONE KAMA IMO

NGOJA ARUDI AFANDE

October 21, 2012
Jumamosi moja Trafiki kamkamata jamaa aliyekuwa anaendesha gari spidi, kila jamaa alipojaribu kujitetea Trafiki hakusikiliza, akamwambia mh...

NIMESHAVAA KONDOMU

October 20, 2012
Mateja wawili walikuwa wanajitayarisha kujidunga sindano za madawa ya kulevya; TEJA 1 : Sasa unajua siku hizi kuna Ukimwi wanasema tusitumi...

NYIE NATAKA KUFUNGUA BENKI

October 20, 2012
Jamaa kaingia benki; JAMAA : Nyie wapumbavu nataka kufungua akaunti BANKER : Mzee mbona matusi ongea tu utasaidiwa JAMAA :Hebu acha ujing...

BABA YANGU HAFANYAGI KAZI

October 18, 2012
Nimetembelea nursery school leo, nikapewa nafasi ya kuongea na watoto ambao kama kawaida yao wana akili kuliko tunavyofikiria; MIMI: Haya n...

SIMBA YUPO?

October 18, 2012
Simu ililia saa nane ya usiku mume akapokea, kisha akaikata kwa hasira baada ya kusikiliza kwa muda; MKE : Nani tena saa hizi? MUME : Naon...

DOGO NG'OMBE DUME YULE

October 17, 2012
Dogo kaenda likizo kijijini kwa babu yake. Siku hiyo babu kaamka asubuhi kamkuta dogo na glasi ya maziwa anainywa taratibu. BABU: Umenunua ...

KISASI CHA UHAKIKA

October 16, 2012
Jamaa alikuwa anaumwa akapita kituo cha taxi akaikuta taxi moja, akamuomba sana taxi dreva ampeleke hospitaji lakini fedha yake ilikuwa ndog...

NADHANI MIE KUKU

October 16, 2012
MCHIZI: Mi nadhani mie ni kuku DOKTA: Okay ni lini ulianza kudhani we kuku? MCHIZI: Muda mrefu tu, toka nilipokuwa yai

NATAKA MAPACHA

October 16, 2012
Mmama alikuwa kapewa talaka na mumewe na akawa kadhulumiwa kila kitu, siku hiyo akawa pwani anapunga upepo kupunguza mawazo, zimwi likamto...

KUZIDISHA 35 NI MSALA

October 16, 2012
Kiukweli ni wazo zuri akina mama kuanza kuzaa wakiwa na miaka 20 na kuendelea, lakini utafiti umeonyesha kwa kweli ukifikisha 35 si vizuri k...

ITAKATIKA YENYEWE

October 16, 2012
Jamaa katika uhuni wake akakumbana na ugonjwa wa ajabu akavimba sehemu za siri, akaenda kwa daktari ambaye akamuangalia kwa makini; DAKTARI...

UNA MIAKA MINGAPI?

October 16, 2012
MWANDISHI : Supasta una miaka mingapi? SUPASTA : Nina miaka 20 MWANDISHI : He lakini si niliwahi kukuhoji miaka miwili mitatu iliyopita, n...

WE NTOTO WEYEEE

October 15, 2012
Swaga za Mpemba anapofukuzia ntoto.’Ntoto weyeee Wallahi wanimalizaa,unrefuu kama nkarafuu, halafu wang’ara kama embe bo...

BIA HOYEEEE

October 14, 2012
Kwanza naomba nitambue uwepo wenu wale watu wangu aka WABISHI DAMU unaonaee. Hawa watu wanaweza kununua ubishi, kubishana na redio, kubishan...

ANZA TU KUZOEA MAKABURI

October 13, 2012
Baada ya kuona afya yake inatetereka, mlevi mmoja akenda hospitali kupimwa; DOKTA : Mheshimiwa tumekufanyia vipimo vyote na nasikitika main...

MLEVI KAOKOTA FUVU

October 13, 2012
Mlevi kapita karibu na makaburi akaokota vufu la kichwa, haraka akapiga simu polisi. MLEVI: Afande, njooni haraka nimeokota fuvu la binad...

SIJUI WAMENILOGA???

October 13, 2012
Jamaa kaingia bar moja kwa moja kakaa kaunta. Akaagiza chupa nne za safari. Akazimaliza chapchap, akaagiza chupa tatu, akazimaliza. Akaagiza...

JE, BIA INA FAIDA?????????

October 11, 2012
Tafakari chukua hatua. Hakuna ubishi kama kuna giza ni wazi kutakuwa na mwanga. Kama kuna wafupi ni wazi kuna warefu, na hivyo basi kama k...

KWA WAVAA VIMINI TU

October 09, 2012
NDUGU WAPENZI WA VIMINI, SIDHANI KAMA MNAWAZO KUWA IKO SIKU MTAZEEKA, KWA TAARIFA YENU KUZEEKA LAZIMA HATA KAMA UTACHEZA JUKWAANI BILA NG...

NICHAGUENI MIMI

October 09, 2012
MGOMBEA: Ndugu wananchi nichagueni muone, maana nchi hii viongozi wamekuwa mafisadi, wala rushwa, wanajaza matumbo yao tu, wanajitajirisha ...
Powered by Blogger.