ULIONDOKA NA SIMU YAKO?

Jamwa kafungua gazeti kakuta tangazo kuwa amekufa, akampigia rafiki yake Tumwa,
JAMWA: Aisee umesoma gazeti wanasema nimekufa
TUMWA: Ndio nimesoma pole bwana, kwa hiyo hii simu unanipigia uko wapi saa hizi? Uliondoka na simu yako?

No comments:

Powered by Blogger.