SIJUI NILICHOANDIKA

Mtoto karudi nyumbani siku ya kwanza ya kuanza shule;
MAMA: Ehe mmejifunza nini shuleni?
MTOTO: Tumejifunza kuandika
MAMA: Umeandika nini?
MTOTO: Sijui, hawajatufundisha kusoma bado

No comments:

Powered by Blogger.