MAITI YACHEKA

Jamaa walikuwa wanaosha maiti, ghafla ikaanza kucheka;
MZEE 1: He kumbe huyu hajafa
MAITI: hapana nimekufa ila mnanitekenya si lazima nicheke?

No comments:

Powered by Blogger.