BABA MKWE ANA HELA?

Binti alimtaarifu baba yake kuwa kapata mchumba anataka kumuoa;
BABA: Sawa binti yangu jambo jema, sasa mtu mwenyewe ana uwezo wa kifedha? Nataka nijue hilo
BINTI: He baba nyie wanaume kumbe wote mko sawa, maana na yeye aliniuliza kama una uwezo gani wa kifedha.

No comments:

Powered by Blogger.